Jeshi la Polisi limesema mtu yeyote atakayetaka kusindikizwa na polisi kwenda kuchukua fedha nyingi benki, anaruhusiwa kwa kulipia Sh 10,000 au Sh 20,000.
Unakionaje kiwango hicho cha ada, kikubwa au kidogo sana? SOURECE;EATV FB PAGE
Nahisi kuna vitu wangefanya kama a service ambayo iko na bei reasonable maybe rushwa tungepunguza but watuwaloajiriwa ofisini lazma waanze KUWAJIBIKA instead ya kuleta nyodo n kuonea watu at times
Kidogo... if we start showing value and appreciation to our public workers maybe they will start valuing us too!!
ReplyDelete
ReplyDeleteNahisi kuna vitu wangefanya kama a service ambayo iko na bei reasonable maybe rushwa tungepunguza but watuwaloajiriwa ofisini lazma waanze KUWAJIBIKA instead ya kuleta nyodo n kuonea watu at times