Mugabe.Shikamoo tena sio wa South Africa tu.Weusi tuko waajabu na roho mbayaaaaa. Tunachukiana wenyewe kwa wenyewe ,tunasemana ,tunashushuna hadhi,tunakasifiana ,tunadhalilishana basi sifa zote tumepewa zimefanana na rangi ya miili yetu . Kaa Mola umetubariki kuwa weusi utubariki roho nzuri zenye upendo.
Mugabe.Shikamoo
ReplyDeletetena sio wa South Africa tu.Weusi tuko waajabu na roho mbayaaaaa.
Tunachukiana wenyewe kwa wenyewe ,tunasemana ,tunashushuna hadhi,tunakasifiana ,tunadhalilishana basi sifa zote tumepewa zimefanana na rangi ya miili yetu .
Kaa Mola umetubariki kuwa weusi utubariki roho nzuri zenye upendo.