Wednesday, November 27, 2013

SOLANGE KNOWLES FOR THE EDIT,THE VACATION ISSUE!!!





SOME BEHIND THE SCENES AT THE SHOOT,,


AM LOVIN HER BOHO LOOK VELLY VELLY CHIC,,

4 comments:

  1. NIMEGUNDUA U REALLY LOVE SOLANGE..ME TOO..

    ReplyDelete


  2. yaani mdau umegundua leooo toka kitambo nlikuwa nkisema solange anajua kuvaa kuliko beyonce,,beyonce muoga ila mwenzie she just go for it,,nampenda kupitiliza hata her music naipenda,,

    ReplyDelete
  3. umenikumbusha mbali Nuru.
    enzi zangu za disminder.

    mwakaa 1992 nilisuka rasta bunda 7 bila kukata, nikaja kushikwa na malaria hiyooo!!

    Nywele zilikatwa kitandani na nesi,yaani wakakata mpaka zangu!!

    I used to love that hair do.

    ReplyDelete


  4. AISEE POLE SANA HAUKULIAA,,WANASUKA JIKUMBUSHIE MWAYA DUHH MM NINGELIA MNOO,,,

    ReplyDelete