Friday, May 18, 2012

TURBAN!!

 NICOLE SCHERZINGER..,
 RACHEL ROY..,
 JUNE A..,
 MRS DEVOTA JOHANSSON..,
 SOPHIA LOREN..,
 SOLANGE..,
 JUNE AMBROSE..,
 IMAN..,
 BEYONCE..,
MAMA LAO THE LIGHT HERSELF IN TURBAN..,JUMP ON THE WAGON FOLKSSSS!!

6 comments:

  1. Wote mnasura nzuri za kuvaa turban sio kila mtu anapendeza nazo.Me like!

    ReplyDelete
  2. nakitaka cha Sophia Rolen na hicho cha mnyama hapo down. Waka waka babis.

    ReplyDelete
  3. Wenye makomo bora tupitwe na hii fashion maana nimejaribu nimejikuta nacheka mwenyewe kama chizi. Kweli sio kila mtu anaweza kuvaa turban na ikamtoa bomba

    ReplyDelete
  4. yaani mdau wa mwisho umenichekesha sana hahahh i think kama una komo acha nywele mbele yaani kuwa na bangs au side bang kama iman alivyofunga na utapendeza trust me ili ufiche komo n still look great!!
    disminder nimekusomaaa babyyy!!

    ReplyDelete