Tuesday, February 14, 2012

WE DANCED THE NIGHT AWAY AT A NEW JOINT CALLED AMBROSIA!!!

THE GANG..,ME AND MY GIRL HELLEN..,
WE MUHOGO WEEEEEEEEEEE..,ANDAZI WEEEEEEEEEEEEE!!


12 comments:

  1. Mnatishaaaaa!!! Kama kawaaaaaaa....... Bata lenu usipimeeeeeeee !!

    ReplyDelete
  2. Itabidi na mimi niamie AbrosyA nimeshafika hapo mara Moja ni pazuri sana na watu niliowaona hapo ni full of class! Mmependezajeee sasa dada zangu??

    ReplyDelete
  3. Nyie wanawake ni watundu! Alafu wote ni style zangu ila yupo mmoja hapo kati yenu namzimiaga zaidi sema siwezi kumtaja nakulaga kwa macho tu!

    ReplyDelete
  4. Mastar wa bongo wa ukweeeeeeeee... Irene Kiwia ntakutafuta mamaa Ofisi yako ya hatariiiiii,uko juuuuuuuuu sio siri. NURU I LOVE U MCHIZI WANGU!

    ReplyDelete
  5. Dah! Kumbe ndio maana kuna watu usingizi hawapati wakiona vitu kama hivi,uwiiiiiiiiiiiiiiii nuru naipenda hii blog ni noma! Jackie upooo?

    ReplyDelete
  6. Nuru naomba utujulishe hiyo Ambrosya iko maeneo gani?
    Nimechoka Kempiski na Run way bora tujue sehemu mpya na watu wapya.Happy valentines day dear

    ReplyDelete
  7. Watu Peopleeeeeeee! Wera Weraaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Hahahhahaahaaa... Nimechekajeee? Jamani hizi blog ni balaa! ni kweli kabisa watu hawalali wanashinda kuona nani kawekwa nani yuko juuuu na nani mgeni? Bongo kazi kweli!huna jina huna dili! Habari ndo hiyoooooo

    ReplyDelete
  9. Kabisaaaaaa huna jina go to hell meeeen, amakweli vifuu tundu ni wengi.......na kujipendekeza kwingi halohalooooooooo

    ReplyDelete
  10. Yapp! watu hawalali full kuchungulia mabigwa wa mablog wera weraaaaaaa

    ReplyDelete
  11. ambrosa ipo kwenye round about ya mbezi africana

    ReplyDelete