Thursday, October 27, 2011

MAMA MALAIKA!!



8 comments:

  1. Aisee nampenda sana huyu dada...Eee mwenyezi mungu mkuzie malaika wake

    ReplyDelete
  2. Malaika atakua vizuri tu, walisema hazai na sasa je?

    ReplyDelete
  3. Mungu kakubariki kukupa mtoto Malaika, mlee katika maadili ulolelewa wewe na mwema kama mamake. Amin, Hongera saaaaaaaaaaaaaaaana

    ReplyDelete
  4. mzuri sana tk namkumbuka toka bingo itv ametoka mbali sna

    ReplyDelete
  5. hongera sana mamii. Mungu aendelee kukukuzia malaika wetu salama

    ReplyDelete
  6. huyo mtoto atakuwa mzuri sana na lazima atakuwa star huko Hollywood...hongera tk..

    ReplyDelete
  7. hongera tk, hongera saaaaaaaaana, nimefurahia sana Mungu akukuzie, lov u

    ReplyDelete