Watu bwana kwani Nuru kasema ameweka post na we lazima unyoe mmh we angalia tu picha na ufurahie yeye anyoe akufurahishe wewe au unataka anyoe ila iweje???
yuuup i chopped ma hair off coupla months ago and now am rockin a natural do...kama huyo dada wa nne hapo, but mine ndefu kidogo..its funny nikitembea barabarani naitwa rasta..lol! i luv ma curly fro..:)
Mmnhu, kwani kaweka ili kila mtu anyoe? si kaweka ili tuone deff styles of short hair and bold heads, yeye Nuru sio style yake , siku akiamua kubadili nadhani atanyoa but for now just enjoy the pics
ungeonyesha mfano kwa kuanza kushave kichwa chako kwanza kabla ya kutuwekea hii post ili utu-inspire zaidi,ni hayo tu.
ReplyDeleteexactly anon wa juuu umeniwahi nilitaa kumuambia Nuru anza wewe maana una fake hair mfano upo wapi?brazilian hair heel no.Na usiwe mkali ukiambiwa ukweli ukubali !
ReplyDeleteWatu bwana kwani Nuru kasema ameweka post na we lazima unyoe mmh we angalia tu picha na ufurahie yeye anyoe akufurahishe wewe au unataka anyoe ila iweje???
ReplyDeletetena Nuru na jinsi ulivyo mweupe utapendeza sana......nyoa basi
ReplyDeleteyuuup i chopped ma hair off coupla months ago and now am rockin a natural do...kama huyo dada wa nne hapo, but mine ndefu kidogo..its funny nikitembea barabarani naitwa rasta..lol! i luv ma curly fro..:)
ReplyDeleteMmnhu, kwani kaweka ili kila mtu anyoe? si kaweka ili tuone deff styles of short hair and bold heads, yeye Nuru sio style yake , siku akiamua kubadili nadhani atanyoa but for now just enjoy the pics
ReplyDelete