Haaa, Nuru nina handbag ya fendi nyeusi na light borwn...yaani sikujua kama ni expensive wanabeba mastar..bei niliyonunulia uwezi amini my dear..nilinunu second hand lakini bado linadai kabisa mbona naanza kuringa sasa kuwa nina kitu cha jina . thanks
Devota You are so Beautiful and Sexy jamani natamani Siku ziende Haraka tuone picha za Harusi yako. Lazima itakua funika mbaya! Nuru Umependeza Nimependa bag lako Nice
Haaa, Nuru nina handbag ya fendi nyeusi na light borwn...yaani sikujua kama ni expensive wanabeba mastar..bei niliyonunulia uwezi amini my dear..nilinunu second hand lakini bado linadai kabisa mbona naanza kuringa sasa kuwa nina kitu cha jina . thanks
ReplyDeleteMmependeza wadada
ReplyDeleteHiyo picha uko na devota nimeipenda zaidi,You girls are hot!
ReplyDeleteWarembo wenyewe looking good!
ReplyDeleteKweli nyie Warembo Haswa.
ReplyDeleteDevota You are so Beautiful and Sexy jamani natamani Siku ziende Haraka tuone picha za Harusi yako. Lazima itakua funika mbaya! Nuru Umependeza Nimependa bag lako Nice
ReplyDeletehahahah anon wa kwanza ringa dadaaaaaaaaa...,
ReplyDeletethank u all on behalf of everyone!!