Wednesday, February 16, 2011

I HEART!!











7 comments:

  1. Jamani Nuru wewe mwanamke unajua kuvaa, napenda sana magauni yako, unayapata wapi jamani!? naomba siri yako Nuru pllllzzzzz.

    Mariam

    ReplyDelete
  2. MMMh umependeza si mchezo mbona unaturusha roho na max zako... sasa na hii umenunua wapi na lini namaanisha summer gani? thanx hun mwaaah...

    kijungu kimekaa poa kwenye hii max ha ha..

    mdau Uk

    ReplyDelete
  3. umependeza saana nuru ,nywele ,gauni umetoka mwakemwake hata pozi mtu wangu umetoka bombaa saana,je hizo nywele umenunua wapi na nizaiana gani pls nijulishe nataka kununua,mdau sweden.

    ReplyDelete
  4. ahsanteni wadau nashkuru na nywele nimenunua hapa bongo in a store in kinondoni..,

    ReplyDelete
  5. Mi no say lol u luk amaizing jamani ntapungua lini niichukue iyo gaun

    ReplyDelete
  6. Duh, pendeza sana mtu wangu, uko juuuuuu. i love the dresses jamaniiiii . Ka pot hapo nyuma kapo poa sanaaa yaniiiiii mh we acha tu.

    Mdau

    ReplyDelete