Friday, February 11, 2011

DANCE REHEARSALS FOR MY VIDEOSHOOT,.,.,THIS IS WHAT HAPPEN BEHIND THE SCENES AND ZE BOI OUR CHOREOGRAPHER WAS AWESOME!!UKO JUU!

ZE BOI IS FROM THT KNOWN AS THE HOUSE OF TALENT..,



ME AND MY BOYSSSSSSSSSSSSSS...,





5 comments:

  1. soory naona unaangali juu sana face the camera u got great face to show it !

    ReplyDelete
  2. Naungana na mdau hapo juu

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri Nuru ila ungewanunulia wakina dogo hata raba kariakoo za bei rahisi wavae, wang'arishe hata video yako. huoni kama unadhalilisha hao dogo..wewe una kitu cheupe wao mawe yanawachoma???

    ReplyDelete
  4. ungewajua usingeongea maana viatu walikuwa hawataki kabisaaaa niliongea mpaka nikachoka halafu nimewafanyia vitu mm na mungu na wao ndio wanajua sio lazima niongee yote hapa maana mtasema najishauwa..,

    ReplyDelete
  5. Well said Nuru! Usipende sana kusema sema.Acha watu waone na kwa wale ulowafanyia wema ndo wanajua na Mungu pekee! Be blessed.Nimependa ulivyojibu Nuru!

    ReplyDelete