Tuesday, January 25, 2011

THANK YOU SO MUCH FOR YOUR WORDS CAUSE THAT HAS BEEN MY AIM SINCE DAY ONE NI KUELIMISHA JAMII!!AHSANTE NASHKURU!

Nuru i knw your very smart, i listened to your interview and i listened to everybody who was interviewd that day but you were fab and smart, ulijieleza vizuri na nikakubari kuwa wewe ni kioo cha jamii na ninastahili kujifunza mambo mengi toka kwako na hata jamii kwa ujumla.

4 comments:

  1. HI MAMA THE LIGHT NI KWELI KABISA MIMI NILIPOTAZAMA ILE INTERVIEW YAKO NILIONA UMEJIBU VIZURI SANA IT WAS MY FIRST TIME KUKUONA ILA NILIKUKUBALI KWANI UNAJALI HADI JAMII. ALL THE BEST.

    ReplyDelete
  2. Karibu mamii, always lift your spirits up high above.

    Me love u sanaaaaaaaaa HAPANA CHEZEA BLACKBERRY ,HAPANA CHEZEYA NURUUUUUUUUU

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Nuru, sijui ni kwanini ila nakuona wewe ni mtu mwenye moyo mzuri sana just by looking at your fotoz. You have angelic face.

    But i dont think if you can sing, i watched your interview with maimartha na ukapewa kuimba, it wasnt good dear friend. My opinion may not count but try vocal classes to improve sauti yako.

    Upendo kwako ninao sana tu dada. Usimind critism, zinakupa wewe hatua mbele zaidi.

    ReplyDelete
  4. WALA MDAU USIHOFU AM NOT MAD AT ALL NAONA WATU KUWAFUNGA MDOMO NI PALE WATAKAPONIONA NAIMBA LIVE N I DONT HAVE A PROBLEM WITH THAT AT ALL..,WALA CIJAMIND CRITISM KABISAA MAANA IT WAS CONSTRUCTIVE..,AHSANTE

    ReplyDelete