mg nakuelewa na wala hamna shida ni idea ulikuwa nayo na umeshare wala usijiskie vibaya..,kuna topic ambazo ntakuwa naandika tu kiswahili lakini topic nyengine napenda wanawake wote duniani waweze kuchangia mada kama sisterhood na selfconfidence maana ni issues ambazo all women goes through
Yes Indeed! kwani kuna wakati mwengine unachapia sana dear...mno yaani inasomeka kama kiswanglish!Najua Kizungu sio lugha yetu lakini duh! Huwa akieleweki kabisa! Mie ni mpenzi sana wa hii blog so please usinitolee macho tu sister! Anitha
Mh!!!uko ulimwengu gani baby!! Siku hizi kuna street languages!! na huku kuna wakati zinapendeza. (kwa mtazamo wangu) hata akichapia si mnaelewa? naye binadamu huyo, na makosa tumeumbiwa sisi.
Ohoo atlist leo umejieleza kumbe ulikuwa ushajiandaa kabisaa then ukapotea njia...wink ulipendeza ulikuwa na mpango wakuja mfunika mwali wetu nini?? lol
Sylivia was supposed 2 be MISS TZ 2009!
ReplyDeleteNuru!! Hiyo rangi ya nguo na hizo mixx? KWELI MWANAMKE FASHION.
ReplyDeleteULIBAMBA BABY
disminder
ahsante disminder n am sure god has plans for her coz shes doing good even though alichukua nafasi ya pili...,
ReplyDeleteNuru dia kama itawezekana tafadhali topic zako zingine ziwe za lugha yetu. Samahani kama nakuingilia kwenye blog yako.
ReplyDeletemg
for sure!
ReplyDeletedisminder
mg nakuelewa na wala hamna shida ni idea ulikuwa nayo na umeshare wala usijiskie vibaya..,kuna topic ambazo ntakuwa naandika tu kiswahili lakini topic nyengine napenda wanawake wote duniani waweze kuchangia mada kama sisterhood na selfconfidence maana ni issues ambazo all women goes through
ReplyDeleteYes Indeed! kwani kuna wakati mwengine unachapia sana dear...mno yaani inasomeka kama kiswanglish!Najua Kizungu sio lugha yetu lakini duh! Huwa akieleweki kabisa!
ReplyDeleteMie ni mpenzi sana wa hii blog so please usinitolee macho tu sister!
Anitha
Mh!!!uko ulimwengu gani baby!!
ReplyDeleteSiku hizi kuna street languages!!
na huku kuna wakati zinapendeza. (kwa mtazamo wangu)
hata akichapia si mnaelewa? naye binadamu huyo, na makosa tumeumbiwa sisi.
disminder
kwa kifupi kingereza chako cha kanumba kabisaaaa... unajitahidi lakini punguza kusifia watu, its boring ..
ReplyDeleteOhoo atlist leo umejieleza kumbe ulikuwa ushajiandaa kabisaa then ukapotea njia...wink ulipendeza ulikuwa na mpango wakuja mfunika mwali wetu nini?? lol
ReplyDeleteshamim hahahha hapana yaa yaani nilikuwa nishajiandaaa mamii basi tu..,
ReplyDeleteWAKAANGA SUMU HAOOOO. WAMESHAHAMIA PANDE HII.
ReplyDeleteBINADAMU KWELI MZITO
disminder.