Sunday, January 31, 2010

CELEBRATE GOOD TIMES COME ON!!! WHICH I DID AT MY BROTHERS WEDDING.,


9 comments:

  1. looks like someone likes their drink!!! si mchezo hahahahaha!!! u looked great sis, luv ur dress

    ReplyDelete
  2. haahahhhhhaaaaaaaaaa yaani watu walicheza mpaka nikaskia raha..am kinda good n am gonna work on to get better..ahsante n ya thats water am drinkin....,

    ReplyDelete
  3. ha ha ha nilijua ni bia ha ha harusi ilikua nzuri sana watu walipendeza mmh Devota nimemuona kapendeza.Nawatakia kila la kheri maarusi.

    ReplyDelete
  4. hahahahahh i knew ppl watasema huyu kashapombeka lolsssssssss...ya devota alikuwepo alipendeza sana i loved her dress..,

    ReplyDelete
  5. Mpe musa hongera sanaaaaaaaaa wote mlipendeza sanaaaa Bibi harusi na
    Musa nguo zao nzuriiiiiii.
    From jakiiii

    ReplyDelete
  6. AHSANTE JAKIIII NA MSG YAKO NIMEIPATA.......NTAWAPA SALAMU ZAKO MAMII

    ReplyDelete
  7. i have the exact same dress u r wearing, except mine is blue.
    got it frm dubai.

    ReplyDelete
  8. i thot t was beer too...u looked amazing as usual!!

    ReplyDelete
  9. mh mamy waswahili wanasema
    RAHA JIPE MWENYEWE!!!
    kwa jinsi watu walivyo SHANGWEKA HAPO? ulifanya la maana kujipa raha mwenyewe wakati unaendelea kukamua.

    PARTY NZURI SANA.


    disminder

    ReplyDelete