Nyimbo hii kweli balaa but also this happening for real.Ujumba mkali umetolewa tusiwe tunapenda penda ovyo bila kuchunguza ni mtu wa nani unaempenda au anaweza kuwa baba yako au mama yako pia bila kumjua.This is what I call too much love to handle. /salome hapa sista
Duh, nyingine bana balaa kabisa, duh, ila kuna mantic na it happens kwa kweli ktk jamii
ReplyDeleteNuru det samma här!
ReplyDeleteNyimbo hii kweli balaa but also this happening for real.Ujumba mkali umetolewa tusiwe tunapenda penda ovyo bila kuchunguza ni mtu wa nani unaempenda au anaweza kuwa baba yako au mama yako pia bila kumjua.This is what I call too much love to handle.
ReplyDelete/salome hapa sista
hii nyimbo imeniacha hoi lakini msg yake ni kali na muhimu kuisikiliza..i think salome hapo umeongea kwa niaba yangu tena vizuri sanaaa...
ReplyDelete