Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 1, 2017

💜💜 NANI KAMA MZAZI!!!


Kwenye maisha mzazi ana nafasi kubwa sana ya either kumjenga au kumuharibu mtoto wake.
Kuna wakati tunalaumu behaviour meaning vitendo vya watoto wakati si kosa lao ni malezi au niseme msingi waliopewa kutoka kwa mzazi wao so They dont know better kwani hicho ndicho walichopewa.
Ukipewa vifaa vizuri utajengeka ila ukipewa mazingira yenye mapungufu ya kukupa Maarifa na foundation nzuri basi mbeleni lazma utahangaika.
Kuna watoto wanafanya mambo hata Jamii ikiongea haisadii kwani nyumbani mtoto is being rewarded for that same behaviour so ataonaje au ataelewaje kuwa anakosea?
Kuna watu ni majambazi lakini wazazi wao wanajua na hawajali.
Kuna watoto wauwaji wa watoto wenzao na wazazi wanajua na ndiokwanza unamkuta yuko na mwanae bega kwa bega.
Kuna watoto hawaendelei mnasema why kumbe mbaya wao yuko karibu.
Nilishuhudia mzazi akiongea kwa sauti kuwa mtoto wake anawanaume wakubwa wenye vyeo so hatahangaika akimtukana mhudumu so you see Mzazi sometimes anayetakiwa akuonye njia sahihi Bali anaweza Pia kuwa mpotoshaji.
Muigizaji Jamie Lee alisema alianza kunywa pombe na baba yake akiwa mdogo sana na mwishowe kuwa an alocoholist kwani baba yake mzazi ndie alimfunza kunywa utotoni.
Nimeona ndugu akikubali kuolewa kumridhia mama yake mzazi lakin kwa miaka tisa alikuwa akilia na moyo wake mpaka 3years ago akanitamkia matatizo yote na mwaka huu kapata anompa tabasamu.
Nimekaa na mtu alikataa mke wazazi walomchagulia wakampa laana zote za dunia na baadae kujua yule dada alikuwa kishaathirika so you see mzazi ana nafasi kubwa sana.
Ndiomaana kila sik huwa nasema msiombee watu wazae Bali waombeeni kuwa wazazi bora!
Mzazi bora ndio kila kitu kwa mtoto trust and believe,
Sometimes msiwe wepesi kuhukumu mpaka mjue safari ya mwenzenu ili mjue na kuelewa kwanini na sio kusema huyu ndivyo alivyo.
Everybody has a story to tell NO matter what,Nimemaliza.com!


9 comments:

Irene said...

well said my dear mzazi anajenga amana anabomoa kwa mtoto wake

comfort said...

Kweli kabisa

Anonymous said...

Sidhani kama kuna mzazi anafurahia kitendo kibaya cha mwanae na kama wapo ni wachache na ni wale walotoka ktk umasikini. Elimu duni na mtt ndo awe kitega uchumi
"Nanukuu"
Mm yangu mdogo
Alikuwa akisema mimi mwanangu akinywa pombe hakika ntampiga mpk ntamkata viungo nilale jela alale hospital .
YY ni mtu wa dini watt watatu VIJANA 48,45 na mdogo 2 Nuru ni ma alkohol wakanza kupigana au kutukanana. Unatafuta på kujisitiri.
Mm mdogo hakunywa ujanani wala mumewe.
Alilea wtt ktk maadili . Alikuwa Mfanyakazi wa Serekali akajenga na SS ndo anaishi na hao wtt.
Nadhani kuna vinavyotokea bila wazazi kupenda na mtt a Kagoma kurudi . Ni kumuombea Mungu awe msimamizi huku nasi wazazi tukiwa wadimamizi.
Kama unauzaje zaa usisubiri kuwa mm bora . Ukiwa kama binadamu hujui uendapo ila unakumbuka uliko toka.
Kuna wazazi malaya walifungua masaloon wakanza au kujiuza na leo watt wao wa metulia ktk majumba yao.
NikIwa kama mzazi naomba Mungu atujaalie kizazi kiwe chema na chenye kumuogopa MUNGU na kufata maadili.
Sio kila a naye jianika na bikin karithi
Sie kila anaecheza picha za uchi karithi wa au atawaritisha wanae
Dr Phl
MY PARENTS DID THE UNTHINKABLE

anonymus said...

Asante baba(RIP) na mama kwa malezi yenu bora.Àlhamdulilah...nimebarikiwa.mwamini

mischa said...

Parents kwa kweli hatuna cha kuwapa.Ila kuna wengine hastahili kuitwa mzazi kwa matendo anayofanya.

Anonymous said...

Wazazi wanachangia asilimia kubwa tabia za watoto, Tumwombe Mungu kwa ukaribu atusaidie malezi. Mimi mwenyewe ni mwathirika wa hilo. Siwezi sema sana ila nikipata ufadhili naweza andika hata kitabu kikasaidia na wengine.

Bintinyota said...

WALLAH NIMEKOSA LAKUONGEZEA.
ALLAH AKUONGEZEE HEKMA MY LIGHT.

Cute Olive said...

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! Biblia inasema mlee mtoto katika njia impasayo naye hataicha hata atakapo kua mzee. na ni kweli watoto huishi kutokana na walivyolelewa.

Anonymous said...

True da nuu
No comment u said all
I love my wazazi